WITO WA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2022
31 May, 2022
![WITO WA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA 2022](http://jkt.go.tz/uploads/news/872accf0b313229c7b6be1cd67478188.jpeg)
Mkuu wa Tawi la Utawala JKT Brigedia Jenerali Hassan Mabena akitoa Taarifa kwa Umma Wito wa Mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa sheria awamu ya pili kwa Vijana waliohitimu elimu ya kidato cha sita kwa mwaka 2022, Makao Makuu ya JKT Chamwino, Dodoma.