Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele katikati (mbele), kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Kozi kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), walipofanya ziara za kimasoma Makao Makuu ya JKT, Kulia kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge.