Tanzania emblem
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JESHI LA KUJENGA TAIFA -JKT

Wanafunzi NDC watembelea Makao Makuu ya JKT

24 Feb, 2023
Wanafunzi NDC watembelea Makao Makuu ya JKT

Mkuu wa Tawi la Tiba JWTZ, Meja Jenerali Amiri Mwami, amesema Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linaendelea kutekeleza majukumu ya uzalishaji ikiwemo kilimo cha mazao ya chakula ili kulihahakikishia Taifa usalama wa chakula huku likiendelea kuwachukua Vijana kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kadiri uwezo utanavyoruhusu.

Meja Jenerali Mwami ameyasema hayo wakati wa ziara ya kimasomo ya Wanafunzi wa Chuo cha Taifa Cha Ulinzi wa Taifa (NDC) walipotembelea Makao Makuu ya JKT yaliyopo Chamwino, Mkoani Dodoma akimwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda.

Nanukuu “We are doing very good, so with a time I think we are going to have large scale production in National Service to insure food security to our Nation, then in enrollment we wish that all of youth they undergo National Service tranning either compulsory voluntary” mwisho wa kunukuu.

Meja Jenerali Mwami amesisitiza kuwa JKT limeendelea kutekeleza majukumu ya malezi ya vijana wanaopitia mafunzo kwenye Makambi mabalimbali ya Jeshi hilo kulingana na uwezo wake kwa sasa.

Kwa upande wake Mkuu wa Chuo cha NDC, Meja Jenerali Ibrahim Mhona akiongoza Ujumbe wa Wanafunzi wanahudhuria masomo ya katika chuo hicho, amemshukuru Mkuu wa Majeshi na Mkuu wa JKT kwa kukubali wanafunzi wa NDC kufanya ziara ya kimasomo JKT.

Meja Jenerali Mhona amesema ziara hiyo imesaidia wanafunzi hao kutafsiri kwa vitendo yale ambayo wamefundishwa katika nadharia baada ya kuona mifumo ya kijeshi na shughuli mbalimbali zinazofanywa na JKT baada kupata taarifa zilizowasilishwa kwao

Akimwakilisha Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, Mkurugenzi wa Ukaguzi Jumla JKT, Kanali George Kazaula amesema JKT linaendelea kufanya vizuri kwenye miradi na shughuli mbalimbali kupitia Makampuni Tanzu ya Shirika lake la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT).

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limekuwa lilitekeleza majukumu yake ya malezi ya vijana uzalishajimali pamoja na ulinzi ambayo yanalenga kuwajengea uzalendo vijana wa kitanzania, kuwajengea uwezo wa kujitegemea baada kumaliza mikataba ya kulitumikia jeshi hilo pamoja na stadi za kazi kupitia uzalishaji mali.

Aidha, ili kuhakikisha usalama wa chakula nchini, JKT limeendelea kutekeleza shughuli za kilimo kikubwa cha mazao ya chakula na kimkakati pamoja na miradi ya umwagiliaji kwenye baadhi ya maeneo ya vikosi vyake hapa nchini ambayo pia hutumika kama sehemu ya mafunzo kwa vijana wa JKT.

Mkuu wa Tawi la Tiba JWTZ, Meja Jenerali Amiri Mwami, amesema Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linaendelea kutekeleza majukumu ya uzalishaji ikiwemo kilimo cha mazao ya chakula ili kulihahakikishia Taifa usalama wa chakula huku likiendelea kuwachukua Vijana kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kadiri uwezo utanavyoruhusu.

Meja Jenerali Mwami ameyasema hayo wakati wa ziara ya kimasomo ya Wanafunzi wa Chuo cha Taifa Cha Ulinzi wa Taifa (NDC) walipotembelea Makao Makuu ya JKT yaliyopo Chamwino, Mkoani Dodoma akimwakilisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob Mkunda.

Nanukuu “We are doing very good, so with a time I think we are going to have large scale production in Nationa Servece to insure food security to our Nation, then in enrollment we wish that all of youth they undergo National Serverce tranning either compulsory voluntary” mwisho wa kunukuu.

Mkuu wa Tawi la Tiba JWTZ, Meja Jenerali Amiri Mwami, amesema Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linaendelea kutekeleza majukumu ya uzalishaji ikiwemo kilimo cha mazao ya chakula ili kulihahakikishia Taifa usalama wa chakula huku likiendelea kuwachukua Vijana kujiunga na mafunzo ya Jeshi hilo kadiri uwezo utanavyo ruhusu.