Tangazo muhimu kwa vijana mujibu wa sheria 2015

Jamii: Matangazo

TANGAZO KWA VIJANA WALIOMALIZAKIDATO CHA SITA MEI 2015 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA

 

 

 

JESHI LA KUJENGA LINAWATANGAZIA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 NA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA, KUWA TAREHE YA MWISHO YA KURIPOTI NI O1 JULAI 2015. ATAKAYE RIPOTI BAADA YA HAPO HATAPOKELEWA, HIVYO ASUBIRI AWAMU NYINGINE ITAKAPOTANGAZWA.

 

TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA