under construction

TANGAZO LA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWAKA 2014

 

JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAWATANGAZIA VIJANA WATAKAOMALIZA ELIMU YA SEKONDARI KIDATO CHA SITA MWEZI MEI 2014 KUWA WATAJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) KWA MUJIBU WA SHERIA MWEZI JUNI 2014, KWA UTARATIBU UTAKAOTOLEWA MWISHONI MWA MWEZI APRILI 2014 NA MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT).