Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini akikabidhi kikombe cha Ushindi wa Jumla kwa Mkuu wa JKT Meja Jennerali Rajabu Mabele katika Mashindano ya Majeshi (BAMMATA) yaliyofanyika Mko...
Mkuu wa Tawi la Tiba JWTZ Meja Jenerali Amri Mwami (Katikati waliokaa) kwenye picha ya pamoja na wanafunzi wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) walipofanya ziara ya kimasomo Makao Makuu ya JKT, wa tatu k...
Wachezaji wa mchezo wa netball Wanawake kati ya timu ya JKT (wenye jezi ya njano) dhidi ya timu ya Zimamoto wakiwania mpira kwenye mashindano ya Michezo ya Majeshi (BAMMATA) yanayofanyika mkoani Mtwar...
Mkuu wa Tawi la Mafunzo JKT, Kanali Aisha Matanza akikabidhi cheti kwa moja wa Wahitimu wa Kozi ya Uongozi Mdogo kwa Vijana wa JKT baada ya kumaliza mafunzo yao katika Chuo cha Uongozi cha Jeshi la ku...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Jacob Mkunda (kushoto) akikagua kitalu cha miche ya michikichi katika kikosi cha JKT Bulombora, mkoani Kigoma.
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele akizungumza na Vijana wanaopatiwa mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria katika kambi ya JKT Maramba mkoa wa Tanga
Moja ya vyombo vilivyoundwa na Serikali ya Tanganyika mara tu baada ya Taifa hili kupata uhuru ni Jeshi la Kujenga Taifa lililoasisiwa tarehe 10 Jul 1... Soma zaidi
Dira
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii yenye nidhamu, umoja, uzalendo , undugu, ukakamavu na kupenda kazi.
Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania, ili kuwajengea nidhamu, uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha ujuzi hatimaye kuchangia katika ulinzi wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi