Jumamosi, 07 Desemba 2019
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205
30 Nov
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa basi la Kampuni ya Ulinzi (SUMAJKT GUARD…
30 Nov
.

.

Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo…
19 Nov
.

.

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT, Kanali Julius Kadawi akimvalisha cheo mmoja wa Maafisa waliopanda kutoka cheo cha Kapteni kuwa…
15 Nov
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge akikagua jengo la Utawala la Chuo cha Madini Jijini Dodoma, lililojengwa na JKT.
21 Okt
.

.

Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge akizindua Kikosi kipya cha JKT Kibiti Oktoba 19, 2019 kilichopo Mkoani Pwani.
14 Okt
.

.

Mkuu wa Mjeshi ya Ulinzi Nchini, Jenerali Venance Mabeyo akisalimiana na Mkuu wa JKT, Brigedia Jenerali Charles Mbuge alipowasili Mkoani…
14 Okt
.

.

Mkurugenzi wa Fedha JKT, Kanali Hassan Mabena akisisitiza jambo mara baada ya kuwasili kikazi kwenye Kambi ya JKT Luwa, Mkoani…
10 Des
Ziara ya Mkuu wa JKT-Bulombora

Ziara ya Mkuu wa JKT-Bulombora

Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Raphael Muhuga, akiwasalimia vijana wa JKT waliopata ajali ya gari iliyotokea Oktoba Mosi mwaka huu…

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi