Jumanne, 24 Novemba 2020

. Featured

Mkuu wa JKT na Afisa Mtendaji Mkuu- SUMAJKT, Meja Jenerali Charles Mbuge (Mwenye koti), akishangilia na Watendaji wa Banda la JKT baada kutangwa Mshindi wa Jumla, kwenye kilele cha Maonesho ya Wakulima, Nanenane kwenye viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi