Alhamisi, 13 Agosti 2020

. Featured

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo (Katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Makao Makuu ya JKT Chamwino, Jijini Dodoma Februari 26,2020

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi