Jumapili, 22 Septemba 2019

. Featured

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT anayeshughulikia Operesheni za Kibiashara, Luteni Kanali Peter Lushika, akipokea TUZO kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, ambapo JKT lilitangazwa Mshindi wa Kwanza wa TUZO ya Biashara Bora ya Kilimo ya Mwaka ya Mazao Mchanganyiko zilizotolewa katika Hoteli ya Hayatt Legency Jijini DSM, May 3, 2019

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi