Alhamisi, 28 Mei 2020

Mahafali ya Wanafunzi wa Kidato cha Sita, Michepuo ya Sayansi na Sayansi ya Jamii katika Shule ya Sekondari Jitegemee, Jijini Dar es Salaam inayomilikiwa na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Aprili 27, mwaka huu.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi