Alhamisi, 28 Mei 2020

Moja ya Majengo ya Wizara 10 yaliyojengwa na Jeshi la Kujenga Taifa katika Mji wa majengo ya Kiserikali Jijini Dodoma, yaliyozinduliwa rasmi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mnamo tarehe 13 Apr 19.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi