Jumatatu, 22 Aprili 2019

. Featured

Afisa Mtendaji Mkuu wa SUMAJKT, ambaye pia ni Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Martin Busungu akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Everligt Skyzone, Hassan Baalbaki  alipotembelewa Makao ya JKT.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi