Jumatatu, 22 Aprili 2019

. Featured

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya (PIC), Mhe Dkt. Raphael Chageni (Mb) akipatiwa maelezo na Meja Alfred Msheri (kushoto) wa Kiwanda cha Ushonaji Mgulani JKT, alipotembelea kiwandani hapo

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi