Jumapili, 24 Machi 2019

. Featured

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Martin Busungu akimkabidhi Kombe la Ushindi mwakilishi wa Jeshi la Magereza baada ya kutangazwa washindi katika mchezo wa Wavu Wanawake, kwenye uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi