Jumamosi, 23 Februari 2019

. Featured

 

 

 

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Martin Busungu akipokea risala kutoka kwa mwakilishi wa wahitimu Kozi ya Uongozi Mdogo Pte Emmanuel Mtawa Kundi la 9-2018/2019 muda mfupi kabla kufungwa rasmi mafunzo hayo yaliyofanyika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji. Picha hapo juu. 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi