Jumanne, 02 Machi 2021

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Alhaj.Dkt Hussein Ali Mwinyi akiwa Mkoani Mtwara kufuatilia utekelezaji wa maelekezo ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama yanayohusu usombaji na uhifadhi wa korosho.Picha hapo chini

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi