Alhamisi, 13 Desemba 2018

. Featured

Ziara ya Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali Martin Busungu alipotembelea Kikosi cha Maramba JKT kilichopo Mkoani Tanga ambapo pamoja na mambo mengine aliweza kuzindua jengo la kuhifadhia silaha, jengo la ofisi ya Kamamda Kikosi, kupanda mti wa kumbukumbu pamoja na kuzawadiwa picha kubwa ya ukutani iliyobeba ujumbe mzito wa Kikosi. Picha hapo juu. 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi