Jumatatu, 12 Novemba 2018

. Featured

Kikundi cha Mazingaombwe cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kinashiriki Tamasha la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni kinazidi kutia fora katika maonesho hayo yanayofanyika kwenye Chuo cha Sanaa Bagamoyo Mkoani Pwani.Kikundi hicho cha JWTZ kina washiriki wafuatao ambao majina yao ya kimchezo yakiwa katika mabano, Ssgt Stephen Kinyashi (Profesa Kashikashi), Ssgt Gaudensia Kalori (Super Mama), Ssgt Tubika Chepe (Power Kifaru) na Sgt Emmanuel Mfilinge (Dkt Filings). Picha hapo juu.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi