Jumanne, 02 Machi 2021

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Hussein Mwinyi anaendelea na ziara yake Kanda ya Kati Dodoma. Asubuhi ya leo tarehe 23 October 2018 ametembelea ujenzi wa jengo la utawala la Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Picha hapo chini.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi