Jumatatu, 12 Novemba 2018

. Featured

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Hussein Mwinyi alipotembelea na kukagua ujenzi wa Mabweni mawli ya Shule ya Sekondari Mondo Wilayani Chemba yenye uwezo wa kulaza wanafunzi 80 kila bweni moja, ambapo bweni moja limegharimu Tshs 75 Milioni. Katika ziara hiyo Mhe.Dkt Mwinyi anafuatana na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMA JKT, Kanali Rajabu Mabele. Picha hpo juu.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi