Jumanne, 02 Machi 2021

Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Florens Turuka akiendelea na ziara yake katika Kikosi cha Itaka JKT Mkoani Songwe, akikagua maendeleo ya ujenzi wa zahanati na ufyatuaji wa matofali ya kuchoma. Picha hapo chini

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi