Jumapili, 21 Oktoba 2018

. Featured

Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt Hussein Mwinyi ametembelea jengo la Halmashauri ya Mji wa Mafinga mradi unaojengwa na Kampuni ya ujenzi wa SUMA JKT wenye thamani ya Tsh 3.4 Bilioni unaotegemea kukamilika tarehe 01 Jan 2019. Picha hapo juu

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi