Ijumaa, 05 Machi 2021

Waziri wa Ulinzi na JKT Dr Hussein Mwinyi alipowasili katika uwanja wa ndege Songea alipokelewa na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu pamoja na Maafisa Wanadhimu wa Brigedi ya Kusini. Picha hapo chini

 

 

 

 

 

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi