Ijumaa, 05 Machi 2021

Ziara ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na JKT Mhe.Dkt.Florens Turuka, ametembelea Kambi ya Mlale JKT na kujionea Kiwanda cha kisasa cha kuchakata mahindi kinachomilikiwa na JKT asilimia 100.picha hapo chini

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi