Jumamosi, 04 Aprili 2020

Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dkt Hussein Mwinyi, ametembelea Kiwanda cha samani Chang'ombe JKT,Kiwanda cha maji ya kunywa na Kiwanda cha Ushonaji vyote vipo eneo la Mgulani JKT Jijini Dar es Salaam.picha hapo chini

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi