Jumatano, 08 Desemba 2021

Ziara ya Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe. Dkt Hussein Mwinyi ameanza kutembelea SUMAJKT ambapo tarehe 01 Oct 2018 alitembelea Makao Makuu ya SUMAJKT na kupatiwa taarifa za utendaji kazi na kutembelea Kiwanda kidogo cha majaribio cha kutengeneza viatu.

 

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi