Jumatano, 08 Desemba 2021

Ziara ya Maafisa Wakuu kutoka Zambia,ujumbe wa Maafisa wakuu wa kozi ya ukamanda na unadhimu kutoka Chuo cha Kijeshi Nchini Zambia leo 01 Oct 2018 wametembelea Kiwanda cha maji na kiwanda cha Ushonaji vilivyopo Mgulani JKT jijini Dar es Salaam .

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi