Jumatano, 08 Desemba 2021

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT anaeshughulikia Utawala Kanali Ahamed Abbas Ahamed ametembelea na kufanya Mkutano na watendaji wa ujenzi wa Kambi mpya ya Kibiti Mkoani Pwani akiwa njiani kurejea toka Nachingwea JKT

 

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi