Jumatano, 08 Desemba 2021

Ufungaji Mafunzo ya Vijana wa JKT Operesheni Mirerani Mujibu wa sheria awamu ya kwanza 2018,Kambi ya Nachingwea JKT Mkoani Lindi,mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mhe. Rukia Muwango kama picha zinavyoonekana hapo chini

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi