Ijumaa, 22 Juni 2018

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT, John Magufuli akiwa katika kiwanda cha Maji Mgulani JKT

Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, DKT John Magufuli akimpa maji ya Uhuru Peak Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, DKT Hussein Ally Mwinyi, siku ya Uzinduzi wa kituo cha uwekezaji cha SUMAJKT, kilichopo katika Kikosi cha Mgulani JKT jijini Da es Salaam.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi