Alhamisi, 09 Aprili 2020
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205

Hafla ya Kukabidhiwa cheti kwa Rais Mteule Dk John Pombe Magufuli

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Davis Mwamnyange wakwanza kushoto, Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Ernest Mangu, Mkuu wa Protokali Ikulu Balozi Mohamed Juma, Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja, Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Samweli Ndomba pamoja na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga, Wakati wa hafla ya kumkabidhi cheti cha uteuzi Rais mteule Dk John Pombe Magufuli.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi