Jumatano, 01 Aprili 2020
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205

Diamond-Jubilee

Katika Picha ya pamoja Rais wa Jamuhuri ya Muungano Dk Jakaya Kikwete (Katikati), Rais Mteule Dk John Pombe Magufuli (Wa nne kutoka kushoto), Makamu wa Rais Mteule Bi Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Wa tatu kutoka kushoto), Mama Salma Kikwete wa pili kutoka kushoto na mama Janet Magufuli wa kwanza kushoto.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi