Jumanne, 28 Septemba 2021
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205

Makamu wa Rais Akizindua Mradi wa huduma ya chakula Mafinga

Makamu wa Rais Dkt Mohammed Bilali (Watatu kutoka kulia) akizindua jengo la maradi wa huduma ya chakula na vyoo katika kijiji cha Idetero,  Mafinga mkoani Iringa, wapli kutoka kulia ni Mkuu wa JKT Meja Jenerali Raphael Muhunga na wapili kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Amina Masenza.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi