Jumanne, 28 Septemba 2021
×

Onyo

JUser: :_load: Haiwezi kupakia mtumiaji aliye na kitambulisho: 205

Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Brigedia Jenerali Jacob Kingu, pamoja na maafisa wakuu JWTZ, wakiangalia michoro ya ujenzi wa makao makuu mapya ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi, ambapo Rais na Amiri Jeshi Mkuu aliweka jiwe la msingi.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi