Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Uhamaji linaloendelea kujengwa na Shirika la Uzalishajimali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) Kanda Kati , Jijini Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (MB) (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. George Simbachawene, Mawaziri hao wamekutana tarehe 27,Oktoba 21 inapojengwa Makao Makuu ya Jeshi la Uhamiaji Jijini Dodoma.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (MB) (kushoto) akisalimiana na Kamishna wa Jeshi la Uhamiaji Dkt. Anna Makakala, viongozi hao wamekutana tarehe27Oktoba, 21 Jijini Dodoma inapojengwa Makao Makuu ya Jeshi la Uhamiaji.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, inayoongozwa na Mheshimiwa Mussa Azan Zungu (MB) ikiendelea na Kikao chakendani ya Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Uhamiaji linaloendelea kujengwa Jijini Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele (katikati) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT (kushoto) Brigedia Jenerali Absolomon Shausi na kulia Mhandisi SUMAJKT Morgan Nyonyi pindi walipozuru sehemu inapojengwa Makao Makuu ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Uhamiaji Kamishna Anna Makakala (kushoto) akiteta jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele (kulia) pindi walipozuru sehemu inapojengwa Makao Makuu ya Uhamiaji Jijini Dar es Salaam.
Jengo la Makao Makuu ya Jeshi la Uhamaji linaloendelea kujengwa na Shirika la Uzalishajimali (SUMAJKT), Jijini Dodoma.
Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele (kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa SUMAJKT (katikati) Brigedia Jenerali Absolomon Shausi sambamba Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi, Dkt Isabellah Mtani (kushoto) pindi walipodhuru sehemu inapojengwa Makao Makuu ya Uhamiaji jijini Dar es Salaam.