Alhamisi, 21 Oktoba 2021

. Featured

Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele (Mbele) akiwaongoza Maafisa, Askari na Vijana wa JKT katika kipindi cha mazoezi ya utimamu wa mwili yanayofanyika kila siku ya Jumanne na Ijumaa ya wiki Makao Makuu ya JKT Chamwino - Dodoma.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi