Alhamisi, 21 Oktoba 2021

. Featured

Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Rajabu Mabele akimkabidhi Cheti Mmmoja wa wahitimu wa semina elekezi kwa Maafisa wa JWTZ waliohamishiwa kufanya kazi Jeshi la Kujenga Taifa ilioendeshwa katika Chuo cha Uongozi Kimbiji - JKT na kuhitimishwa Mei 28, 2021.

Uadilifu

JKT huwajenga vijana kuwa waaminifu, wakweli na wakutegemewa na Taifa

Umoja na Mshikamano

Kuandaa vijana kuwa jamii yenye mshikamano na umoja wa kitaifa bila kujali itikadi zao za kitamaduni, kisiasa na kidini.

Kujitolea

Kuandaa vijana kuwa na moyo wa kujituma na kujitolea.

Uzalendo

Huwaandaa vijana wawe na moyo wa uzalendo, udugu na kuipenda nchi yao.

Nidhamu

Kuwafundisha vijana kuwa watiifu na wenye heshima.

Kupenda kazi

Kuwaanda vijana kuwa jamii yenye kutekeleza wajibu na moyo wa kupenda kufanya kazi