Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele akipokea zawadi kutoka Mkuu wa Chuo cha Ulinzi Cha Taifa (NDC), Balozi Meja Jenerali Wilbert Ibuge wakati wa ziara ya kimasomo ya Washiriki wa Kozi kutoka Chuo...
Baadhi ya Washiriki wa Kozi kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) wakifuatilia jambo wakati wa majadiliano walipofanya ziara ya kimasomo Makao Makuu ya JKT Chamwino, mkoani Dodoma.
Baadhi ya Washiriki wa Kozi kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), wakifuatilia jambo wakati wa majadiliano walipofanya ziara ya kimasomo Makao Makuu ya JKT Chamwino, mkoani Dodoma.
Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele katikati (mbele), kwenye picha ya pamoja na Washiriki wa Kozi kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), walipofanya ziara za kimasoma Makao Makuu ya JKT, Kulia k...
Wakuu wa Matawi na Wakurugenzi Makao Makuu ya JKT kushoto wakiongozwa na Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele kwenye majadiliano na Washiriki wa Kozi kutoa Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), walipofa...
Mhadhara wa Washiriki wa Kozi kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC), katika Ukumbi wa Makao Makao Makuu ya JKT Chamwino, walipofanya ziara ya kimasomo baada ya kupokelewa na Mkuu wa JKT, Meja Jeneral...
Moja ya vyombo vilivyoundwa na Serikali ya Tanganyika mara tu baada ya Taifa hili kupata uhuru ni Jeshi la Kujenga Taifa lililoasisiwa tarehe 10 Jul 1... Soma zaidi
Dira
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii yenye nidhamu, umoja, uzalendo , undugu, ukakamavu na kupenda kazi.
Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania, ili kuwajengea nidhamu, uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha ujuzi hatimaye kuchangia katika ulinzi wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi