asdsssd
Dira
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii yenye nidhamu, umoja, uzalendo, undugu, wakakamavu na kupenda kazi.
Dhima
Kuwalea vijana wa Tanzania, kinidhamu, uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha ujuzi na hatimaye kuchangia katika ulinzi wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi
Habari Mbalimbali

UGENI KUTOKA MISRI
Mkuu wa JKT Meja Jenerali Charles Mbuge akimkabidhi zawadi Mwambata Jeshi wa Misri Nchini Brigedia Jenerali Khaled Mousbah baada ya kikao cha Mashirik...
Taasisi Za Wizara ya Ulinzi na JKT
|
Wizara ya Ulinzi |
|
Jeshi la Wananchi |
|
Shirika la NYUMBU |
|
SUMA JKT |
![]() |
Mzinga Corporation |